Skip to content
النَّبَإ /

Aya 21

78 : 21
النَّبَإ Aya 40
Sura · النَّبَإ
Kiswahili · Barawani
78 : 21

إِنَّ جَهَنَّمَ كَانَتۡ مِرۡصَادٗا

Hakika Jahannamu inangojea!

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika Jahannamu imekuwa kama ni kitu kinacho ngojea, walinzi wake wanawangojea watu watakao kuja kuingia.