Skip to content
الإنسَان /

Aya 12

76 : 12
الإنسَان Aya 31
Sura · الإنسَان
Kiswahili · Barawani
76 : 12

وَجَزَىٰهُم بِمَا صَبَرُواْ جَنَّةٗ وَحَرِيرٗا

Na atawajazi Bustani za Peponi na maguo ya hariri kwa vile walivyo subiri.

Explanation & meanings · 1
  1. Na akawajazi kwa ile subira yao Pepo imeenea furaha, na nguo zake ni hariri laini.