76 : 13
مُّتَّكِـِٔينَ فِيهَا عَلَى ٱلۡأَرَآئِكِۖ لَا يَرَوۡنَ فِيهَا شَمۡسٗا وَلَا زَمۡهَرِيرٗا
Humo wataegemea juu ya viti vya enzi, hawataona humo jua kali wala baridi kali.
Explanation & meanings · 1
- Wakiegemea huko Peponi juu ya makochi, hawaoni joto la jua, wala shida ya baridi.