73 : 13
وَطَعَامٗا ذَا غُصَّةٖ وَعَذَابًا أَلِيمٗا
Na chakula kinacho kwama kooni, na adhabu inayo umiza.
Explanation & meanings · 1
- Na chakula kinacho sakama kooni, hakimezeki, na adhabu yenye uchungu mkali usio stahamilika.
وَطَعَامٗا ذَا غُصَّةٖ وَعَذَابًا أَلِيمٗا
Na chakula kinacho kwama kooni, na adhabu inayo umiza.