73 : 12
إِنَّ لَدَيۡنَآ أَنكَالٗا وَجَحِيمٗا
Hakika Sisi tunazo pingu nzito na Moto unao waka kwa ukali kabisa!
Explanation & meanings · 1
- Huko Akhera tumewawekea wanao kadhibisha pingu nzito, na Moto wa kuunguza,
Aya 12 of المُزمل (73 : 12). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
إِنَّ لَدَيۡنَآ أَنكَالٗا وَجَحِيمٗا
Hakika Sisi tunazo pingu nzito na Moto unao waka kwa ukali kabisa!