Skip to content
المُزمل /

Aya 14

73 : 14

Aya 14 of المُزمل (73 : 14). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المُزمل Aya 20
Sura · المُزمل
Kiswahili · Barawani
73 : 14

يَوۡمَ تَرۡجُفُ ٱلۡأَرۡضُ وَٱلۡجِبَالُ وَكَانَتِ ٱلۡجِبَالُ كَثِيبٗا مَّهِيلًا

Siku ambayo ardhi itatikiswa na milima pia, na milima itakuwa kama tifutifu la mchanga.

Explanation & meanings · 1
  1. Siku itakapo tikisika ardhi na milima kwa mtikiso mkubwa mno, na milima ikawa mirundu ya mchanga ulio tapanyika, baada ya kuwa mawe magumu yaliyo shikamana.