Skip to content
نُوح /

Aya 12

71 : 12

Aya 12 of نُوح (71 : 12). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

نُوح Aya 28
Sura · نُوح
Kiswahili · Barawani
71 : 12

وَيُمۡدِدۡكُم بِأَمۡوَٰلٖ وَبَنِينَ وَيَجۡعَل لَّكُمۡ جَنَّٰتٖ وَيَجۡعَل لَّكُمۡ أَنۡهَٰرٗا

Na atakupeni mali na wana, na atakupeni mabustani na atakufanyieni mito.

Explanation & meanings · 1
  1. Na atakupeni mali na wana, na hayo ndiyo mapambo ya dunia, na atakupeni mashamba mtayo starehea kwa uzuri wake na matunda yake, na atakujaalieni mito ya kunyweshea mazao yenu na mifugo yenu.