Skip to content
الأعرَاف /

Aya 113

7 : 113
الأعرَاف Aya 206
Sura · الأعرَاف
Kiswahili · Barawani
7 : 113

وَجَآءَ ٱلسَّحَرَةُ فِرۡعَوۡنَ قَالُوٓاْ إِنَّ لَنَا لَأَجۡرًا إِن كُنَّا نَحۡنُ ٱلۡغَٰلِبِينَ

Wakaja wachawi kwa Firauni, wakasema: Hakika tutapata ujira ikiwa tutashinda.

Explanation & meanings · 1
  1. Basi wakaja kwa Firauni wachawi walio kusanywa na askari wake. Nao wakasema: Hapana shaka nasi tutapata malipo makubwa yanayo lingana na hili linalo takikana kwetu, ikiwa sisi tutamshinda Musa.