Skip to content
الأعرَاف /

Aya 112

7 : 112

Aya 112 of الأعرَاف (7 : 112). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الأعرَاف Aya 206
Sura · الأعرَاف
Kiswahili · Barawani
7 : 112

يَأۡتُوكَ بِكُلِّ سَٰحِرٍ عَلِيمٖ

Wakuletee kila mchawi mjuzi.

Explanation & meanings · 1
  1. Wakuletee kila mwanachuoni wa ilimu za uchawi. Na wao watakufichulia nini khasa hakika ya aliyo kuja nayo Musa, asije akafitinika yeyote.