68 : 15
إِذَا تُتۡلَىٰ عَلَيۡهِ ءَايَٰتُنَا قَالَ أَسَٰطِيرُ ٱلۡأَوَّلِينَ
Anapo somewa Aya zetu, husema: Hizi ni simulizi za uwongo za watu wa zamani!
Explanation & meanings · 1
- Akisomewa Qur'ani husema: Hivi ni visa vya uwongo vya watu wa kale!