Skip to content
القَلَم /

Aya 13

68 : 13
القَلَم Aya 52
Sura · القَلَم
Kiswahili · Barawani
68 : 13

عُتُلِّۭ بَعۡدَ ذَٰلِكَ زَنِيمٍ

Mkavu, na juu ya hayo, mshari, amejipachika tu.

Explanation & meanings · 1
  1. Mgumu wa moyo, mwenye tabia ya ukavu, muovu maarufu kwa shari, juu ya sifa hizo mbovu alizo nazo.