68 : 10
وَلَا تُطِعۡ كُلَّ حَلَّافٖ مَّهِينٍ
Wala usimt'ii kila mwingi wa kuapa wa kudharauliwa,
Explanation & meanings · 1
- Wala usiache mwendo wako ulio nao kwenda kinyume na kila mwingi wa viapo, mtu wa kudharauliwa,
Aya 10 of القَلَم (68 : 10). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
وَلَا تُطِعۡ كُلَّ حَلَّافٖ مَّهِينٍ
Wala usimt'ii kila mwingi wa kuapa wa kudharauliwa,