Skip to content
القَلَم /

Aya 11

68 : 11

Aya 11 of القَلَم (68 : 11). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

القَلَم Aya 52
Sura · القَلَم
Kiswahili · Barawani
68 : 11

هَمَّازٖ مَّشَّآءِۭ بِنَمِيمٖ

Mtapitapi apitae akifitini.

Explanation & meanings · 1
  1. Mtapitapi mwenye kueneza aibu za watu, mwenye kuwasengenya watu, kuwasema kwa siri, mwenye kutwaa maneno baina ya watu kwa sababu ya kuwafisidi,