Skip to content
الأنعَام /

Aya 103

6 : 103
الأنعَام Aya 165
Sura · الأنعَام
Kiswahili · Barawani
6 : 103

لَّا تُدۡرِكُهُ ٱلۡأَبۡصَٰرُ وَهُوَ يُدۡرِكُ ٱلۡأَبۡصَٰرَۖ وَهُوَ ٱللَّطِيفُ ٱلۡخَبِيرُ

Macho hayamfikilii bali Yeye anayafikilia macho. Naye ni Mjuzi, Mwenye khabari.

Explanation & meanings · 1
  1. Macho hayamuoni dhati yake, na Yeye anajua undani wa macho na vyenginevyo. Naye ni Mjuzi hakimpotei kitu, ni Mwenye khabari za kila kitu.