Skip to content
الوَاقِعة /

Aya 45

56 : 45

Aya 45 of الوَاقِعة (56 : 45). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الوَاقِعة Aya 96
Sura · الوَاقِعة
Kiswahili · Barawani
56 : 45

إِنَّهُمۡ كَانُواْ قَبۡلَ ذَٰلِكَ مُتۡرَفِينَ

Hakika hao walikuwa kabla ya haya wakiishi maisha ya anasa.

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika hao kabla ya haya walikuwa wamepita kiasi katika kustarehea neema za duniani, wamepumbaa hawataki kumt'ii Mwenyezi Mungu Mtukufu.