Skip to content
القَمَر /

Aya 7

54 : 7

Aya 7 of القَمَر (54 : 7). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

القَمَر Aya 55
Sura · القَمَر
Kiswahili · Barawani
54 : 7

خُشَّعًا أَبۡصَٰرُهُمۡ يَخۡرُجُونَ مِنَ ٱلۡأَجۡدَاثِ كَأَنَّهُمۡ جَرَادٞ مُّنتَشِرٞ

Macho yao yatainama; watatoka makaburini kama nzige walio tawanyika!

Explanation & meanings · 1
  1. Macho yao yatainamia chini kwa wingi wa kitisho, wakitoka makaburini kama kwamba ni nzige walio tawanyika, kwa wingi wao na mbio zao.