Skip to content
القَمَر /

Aya 8

54 : 8

Aya 8 of القَمَر (54 : 8). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

القَمَر Aya 55
Sura · القَمَر
Kiswahili · Barawani
54 : 8

مُّهۡطِعِينَ إِلَى ٱلدَّاعِۖ يَقُولُ ٱلۡكَٰفِرُونَ هَٰذَا يَوۡمٌ عَسِرٞ

Wanamkimbilia mwitaji, na makafiri wanasema: Hii ni siku ngumu.

Explanation & meanings · 1
  1. Wakimkimbilia huyo mwitaji, wakimtazama kwa unyonge na unyenekevu, macho yao yanamwangalia yeye tu. Makafiri watasema Siku ya Kiyama: Hii leo ni siku nzito, siku ya shida!