Skip to content
النَّجم /

Aya 24

53 : 24

Aya 24 of النَّجم (53 : 24). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّجم Aya 62
Sura · النَّجم
Kiswahili · Barawani
53 : 24

أَمۡ لِلۡإِنسَٰنِ مَا تَمَنَّىٰ

Ati mtu anakipata kila anacho kitamani?

Explanation & meanings · 1
  1. Mwanaadamu hapati kila anacho kitamani, ya kupata uombezi wa haya masanamu au mengineyo anayo yatamani kwa nafsi yake.