Skip to content
الطُّور /

Aya 33

52 : 33
الطُّور Aya 49
Sura · الطُّور
Kiswahili · Barawani
52 : 33

أَمۡ يَقُولُونَ تَقَوَّلَهُۥۚ بَل لَّا يُؤۡمِنُونَ

Au ndio wanasema: Ameitunga hii! Bali basi tu hawaamini!

Explanation & meanings · 1
  1. Bali ati wanasema: Muhammad ameizua hii Qur'ani! Bali hawa kwa ukaidi wao hawaamini tu.