Skip to content
الذَّاريَات /

Aya 45

51 : 45
الذَّاريَات Aya 60
Sura · الذَّاريَات
Kiswahili · Barawani
51 : 45

فَمَا ٱسۡتَطَٰعُواْ مِن قِيَامٖ وَمَا كَانُواْ مُنتَصِرِينَ

Basi hawakuweza kusimama wala hawakuwa wenye kujitetea.

Explanation & meanings · 1
  1. Basi hawakuweza kuinuka. Wala hawakuweza kujipigania kuijikinga na adhabu.