Skip to content
الذَّاريَات /

Aya 43

51 : 43

Aya 43 of الذَّاريَات (51 : 43). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الذَّاريَات Aya 60
Sura · الذَّاريَات
Kiswahili · Barawani
51 : 43

وَفِي ثَمُودَ إِذۡ قِيلَ لَهُمۡ تَمَتَّعُواْ حَتَّىٰ حِينٖ

Na katika khabari za Thamudi walipo ambiwa: Jifurahisheni kwa muda mdogo tu.

Explanation & meanings · 1
  1. Na katika kisa cha Thamudi ipo Ishara. Walipo ambiwa: Stareheni katika majumba yenu kwa muda maalumu.