51 : 42
مَا تَذَرُ مِن شَيۡءٍ أَتَتۡ عَلَيۡهِ إِلَّا جَعَلَتۡهُ كَٱلرَّمِيمِ
Haukuacha chochote ulicho kifikia ila ulikifanya kama kilio nyambuka.
Explanation & meanings · 1
- Upepo huo haupiti kwa kitu chochote ila hukiacha kama fupa lilio nyambuka.