Skip to content
الدُّخان /

Aya 34

44 : 34
الدُّخان Aya 59
Sura · الدُّخان
Kiswahili · Barawani
44 : 34

إِنَّ هَٰٓؤُلَآءِ لَيَقُولُونَ

Hakika hawa wanasema:

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika hawa wanao kadhibisha kufufuliwa bila ya shaka wanasema: Hapana kufa ila kwa haya haya mauti yetu ya kwanza ya duniani, wala sisi hatutafufuliwa tena.