Skip to content
الدُّخان /

Aya 33

44 : 33
الدُّخان Aya 59
Sura · الدُّخان
Kiswahili · Barawani
44 : 33

وَءَاتَيۡنَٰهُم مِّنَ ٱلۡأٓيَٰتِ مَا فِيهِ بَلَٰٓؤٞاْ مُّبِينٌ

Na tukawapa katika ishara zenye majaribio yaliyo wazi.

Explanation & meanings · 1
  1. Na Mwenyezi Mungu akawaletea katika mkono wa Musa dalili kadhaa wa kadhaa za kuwatia wao katika mitihani iliyo wazi.