Skip to content
الزُّخرُف /

Aya 89

43 : 89

Aya 89 of الزُّخرُف (43 : 89). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الزُّخرُف Aya 89
Sura · الزُّخرُف
Kiswahili · Barawani
43 : 89

فَٱصۡفَحۡ عَنۡهُمۡ وَقُلۡ سَلَٰمٞۚ فَسَوۡفَ يَعۡلَمُونَ

Basi wasamehe, na uwambie maneno ya salama. Watakuja jua.

Explanation & meanings · 1
  1. Basi waachilie mbali, ewe Mtume, kwa wingi wa inda yao, na waambie: Langu mimi nikukuacheni kwa salama yenu kutoka kwangu, na salama yangu kutoka kwenu. Nanyi mtakuja jua kuwa mwisho wa inda yao ni khasara iliyo wazi.