Skip to content
الشُّورى /

Aya 19

42 : 19

Aya 19 of الشُّورى (42 : 19). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الشُّورى Aya 53
Sura · الشُّورى
Kiswahili · Barawani
42 : 19

ٱللَّهُ لَطِيفُۢ بِعِبَادِهِۦ يَرۡزُقُ مَن يَشَآءُۖ وَهُوَ ٱلۡقَوِيُّ ٱلۡعَزِيزُ

Mwenyezi Mungu ni Mpole kwa waja wake. Humruzuku ampendaye. Naye ni Mwenye nguvu, Mtukufu.

Explanation & meanings · 1
  1. Mwenyezi Mungu, ni mkuu wa kuwafanyia wema waja wake wote. Huwaruzuku awatakao kama anavyo taka. Naye ni Mwenye kushinda kila kitu, Mwenye nguvu asiye shindika.