Skip to content
فُصِّلَت /

Aya 42

41 : 42

Aya 42 of فُصِّلَت (41 : 42). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

فُصِّلَت Aya 54
Sura · فُصِّلَت
Kiswahili · Barawani
41 : 42

لَّا يَأۡتِيهِ ٱلۡبَٰطِلُ مِنۢ بَيۡنِ يَدَيۡهِ وَلَا مِنۡ خَلۡفِهِۦۖ تَنزِيلٞ مِّنۡ حَكِيمٍ حَمِيدٖ

Hautakifikia upotovu mbele yake wala nyuma yake. Kimeteremshwa na Mwenye hikima, Msifiwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika wanao ikataa Qur'ani Tukufu inapo wajia bila ya kuzingatia, watapata adhabu ambayo hapana mtu anaye weza kuikadiria. Wao wameipinga Qur'ani nacho hakika ni Kitabu kisicho kuwa na mfano, kinamshinda kila mwenye kukipinga, hakiingiliwi na upotofu usio kuwa na asli kwake kwa upande wowote ule, kimeteremka kwa kukufuatana kutokana na Mungu aliye takasika na upuuzi, Msifiwa kwa wingi wa sifa kwa neema alizo zitoa.