Skip to content
الصَّافَات /

Aya 65

37 : 65

Aya 65 of الصَّافَات (37 : 65). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 65

طَلۡعُهَا كَأَنَّهُۥ رُءُوسُ ٱلشَّيَٰطِينِ

Mashada ya matunda yake kama kwamba vichwa vya mashet'ani.

Explanation & meanings · 1
  1. Matunda yake mabaya kuyatazama, yana sura ya kukirihisha, macho hayapendi kuyatazama, kama vichwa vya mashetani ambavyo kwa hakika watu hawajaviona, lakini mtu humpitikia tu katika dhana jinsi ya ubaya wake.