Skip to content
الصَّافَات /

Aya 49

37 : 49
الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 49

كَأَنَّهُنَّ بَيۡضٞ مَّكۡنُونٞ

Hao wanawake kama mayai yaliyo hifadhika.

Explanation & meanings · 1
  1. Hao wanawake wenye macho ya staha ni kama mayai ya mbuni, yaliyo hifadhiwa na mbawa zake. Basi hayaguswi na mikono, wala hayapati vumbi.