Skip to content
المؤمنُون /

Aya 68

23 : 68
المؤمنُون Aya 118
Sura · المؤمنُون
Kiswahili · Barawani
23 : 68

أَفَلَمۡ يَدَّبَّرُواْ ٱلۡقَوۡلَ أَمۡ جَآءَهُم مَّا لَمۡ يَأۡتِ ءَابَآءَهُمُ ٱلۡأَوَّلِينَ

Je, hawakuifikiri kauli, au yamewajia yasiyo wafikia baba zao wa zamani?

Explanation & meanings · 1
  1. Je! Hawa wenye kupuuza wamekuwa wajinga hata hawakuizingatia Qur'ani wakaijua kwamba hii hakika ni Haki? Au huu wito wa Muhammad kwao umekuwa ni namna mbali kuliko walio kuja nayo Mitume wengine kwa kaumu zilizo kwisha tangulia walio ambao baba zao waliwawahi?