Skip to content
المؤمنُون /

Aya 67

23 : 67

Aya 67 of المؤمنُون (23 : 67). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المؤمنُون Aya 118
Sura · المؤمنُون
Kiswahili · Barawani
23 : 67

مُسۡتَكۡبِرِينَ بِهِۦ سَٰمِرٗا تَهۡجُرُونَ

Na huku mkitakabari na usiku mkiizungumza (Qur'ani) kwa dharau.

Explanation & meanings · 1
  1. Na nyinyi katika mapuuza yenu mlikuwa mnatakabari na mnafanyia maskhara, mkiutaja huu Wahyi kwa sifa mbaya mnapo kutana katika taanusi zenu za usiku.