Skip to content
المؤمنُون /

Aya 69

23 : 69

Aya 69 of المؤمنُون (23 : 69). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المؤمنُون Aya 118
Sura · المؤمنُون
Kiswahili · Barawani
23 : 69

أَمۡ لَمۡ يَعۡرِفُواْ رَسُولَهُمۡ فَهُمۡ لَهُۥ مُنكِرُونَ

Au hawakumjua Mtume wao, ndio maana wanamkataa?

Explanation & meanings · 1
  1. Au hawamjui Mtume wao Muhammad aliye kulia kati yao katika tabia zake tukufu ambazo hazijapata kuwa na uwongo, na wao hivi sasa wanaukataa wito wake kwa dhulma na husda.