Skip to content
الأنبيَاء /

Aya 8

21 : 8
الأنبيَاء Aya 112
Sura · الأنبيَاء
Kiswahili · Barawani
21 : 8

وَمَا جَعَلۡنَٰهُمۡ جَسَدٗا لَّا يَأۡكُلُونَ ٱلطَّعَامَ وَمَا كَانُواْ خَٰلِدِينَ

Wala hatukuwafanya miili isiyo kula chakula, wala hawakuwa wenye kuishi milele.

Explanation & meanings · 1
  1. Wala Sisi hatukuwajaalia Mitume kuwa na miili inayo khitalifiana na miili ya wanaadamu wengine, wakawa wanaishi bila ya chakula, na wakabaki siku zote, na wala hawakuwa wanaishi daima milele.