18 : 83
وَيَسۡـَٔلُونَكَ عَن ذِي ٱلۡقَرۡنَيۡنِۖ قُلۡ سَأَتۡلُواْ عَلَيۡكُم مِّنۡهُ ذِكۡرًا
Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.
Explanation & meanings · 1
- Ewe Mtume! Baadhi ya makafiri wanakuuliza khabari za Dhul-Qarnaini. Waambie nitakusimulieni baadhi ya khabari zake.