Skip to content
النَّحل /

Aya 51

16 : 51
النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 51

۞ وَقَالَ ٱللَّهُ لَا تَتَّخِذُوٓاْ إِلَٰهَيۡنِ ٱثۡنَيۡنِۖ إِنَّمَا هُوَ إِلَٰهٞ وَٰحِدٞ فَإِيَّٰيَ فَٱرۡهَبُونِ

Na Mwenyezi Mungu amesema: Msiwe na miungu wawili! Hakika Yeye ni Mungu Mmoja. Basi niogopeni Mimi tu!

Explanation & meanings · 1
  1. Mwenyezi Mungu amesema: Msiabudu wawili, wala msifanye miungu wawili. Kwani kushiriki katika ibada kunapingana na Umoja wa kuumba. Wa kuabudiwa kwa Haki ni Mungu Mmoja tu. Basi niogopeni Mimi wala msimkhofu mwengine.