Skip to content
النَّحل /

Aya 52

16 : 52

Aya 52 of النَّحل (16 : 52). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 52

وَلَهُۥ مَا فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ وَلَهُ ٱلدِّينُ وَاصِبًاۚ أَفَغَيۡرَ ٱللَّهِ تَتَّقُونَ

Na ni vyake Yeye viliomo katika mbingu na ardhi. Na Dini ni yake Yeye daima. Je! Mtamcha mwengine asiye kuwa Mwenyezi Mungu?

Explanation & meanings · 1
  1. Yeye pekee ndiye mwenye vyote viliomo mbinguni na katika ardhi, kwa kuviumba na kuvimiliki na kumuabudu. Basi ni haki yake Yeye tu pekee kuabudiwa na kuhimidiwa na kunyenyekewa, na kutarajiwa rehema yake, na kuogopwa adhabu yake.