16 : 50
يَخَافُونَ رَبَّهُم مِّن فَوۡقِهِمۡ وَيَفۡعَلُونَ مَا يُؤۡمَرُونَ۩
Vinamkhofu Mola wao Mlezi aliye juu yao, na vinafanya vinavyoamrishwa.
Explanation & meanings · 1
- Na hali yao ni kuwa daima wamo katika kumkhofu Mola wao Mlezi, Mwenye uwezo na nguvu, na wanafanya anayo waamrisha.