Skip to content
النَّحل /

Aya 49

16 : 49

Aya 49 of النَّحل (16 : 49). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 49

وَلِلَّهِۤ يَسۡجُدُۤ مَا فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَمَا فِي ٱلۡأَرۡضِ مِن دَآبَّةٖ وَٱلۡمَلَٰٓئِكَةُ وَهُمۡ لَا يَسۡتَكۡبِرُونَ

Na vyote viliomo katika mbingu na katika ardhi, tangu wanyama mpaka Malaika, vinamsujuidia Mwenyezi Mungu, na wala havitakabari.

Explanation & meanings · 1
  1. Ni kwa Mwenyezi Mungu pekee - wala si kwa mwenginewe - hunyenyekea na kut'ii vyote alivyo viumba mbinguni na viumbe viliomo na vyendavyo katika ardhi. Na mbele yao ni Malaika wanao nyenyekea wala hawatakabari na kumt'ii. Aya hii imeitangulia sayansi kwa kusema kuwa katika baadhi ya sayari upo uhai katika mfumo huu wetu wa jua, au nje yake. Sayansi sasa inajaribu kutaka kuvumbua hayo.