Skip to content
النَّحل /

Aya 120

16 : 120

Aya 120 of النَّحل (16 : 120). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 120

إِنَّ إِبۡرَٰهِيمَ كَانَ أُمَّةٗ قَانِتٗا لِّلَّهِ حَنِيفٗا وَلَمۡ يَكُ مِنَ ٱلۡمُشۡرِكِينَ

Hakika Ibrahim alikuwa mfano mwema, mnyenyekevu kwa MwenyeziMungu, mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina.

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika Ibrahim, mnaye tafakhari naye nyinyi washirikina na Mayahudi, alikuwa amekusanya kila fadhila njema, na yu mbali na upotovu wenu, ni mt'iifu wa amri ya Mola wake Mlezi, na wala hakuwa mshirikina kama nyinyi.