Skip to content
النَّحل /

Aya 119

16 : 119

Aya 119 of النَّحل (16 : 119). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 119

ثُمَّ إِنَّ رَبَّكَ لِلَّذِينَ عَمِلُواْ ٱلسُّوٓءَ بِجَهَٰلَةٖ ثُمَّ تَابُواْ مِنۢ بَعۡدِ ذَٰلِكَ وَأَصۡلَحُوٓاْ إِنَّ رَبَّكَ مِنۢ بَعۡدِهَا لَغَفُورٞ رَّحِيمٌ

Kisha hakika Mola wako Mlezi kwa walio tenda uovu kwa ujinga,kisha wakatubia baada ya hayo na wakatenda mema; bila ya shaka Mola wako Mlezi baada ya hayo ni Mwenye kusamehe na Mwenye kurehemu.

Explanation & meanings · 1
  1. Kisha wanao tenda maovu kwa kupitikiwa, au kwa kuacha kuzingatia vilivyo matokeo yatayo tokea, na baadae wakatubia, wakajitengeneza nafsi zao na vitendo vyao, basi hakika Mola wako Mlezi, ewe Nabii, atawasamehe hao madhambi yao. Kwani hakika Yeye Subhanahu baada ya toba hiyo ni Mwingi wa kusamehe madhambi, na ni Mkunjufu wa rehema kwa waja wake.