Skip to content
النَّحل /

Aya 108

16 : 108

Aya 108 of النَّحل (16 : 108). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 108

أُوْلَٰٓئِكَ ٱلَّذِينَ طَبَعَ ٱللَّهُ عَلَىٰ قُلُوبِهِمۡ وَسَمۡعِهِمۡ وَأَبۡصَٰرِهِمۡۖ وَأُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلۡغَٰفِلُونَ

Hao ndio Mwenyezi Mungu ameziziba nyoyo zao na masikio yao na macho yao. Na hao ndio walio ghafilika.

Explanation & meanings · 1
  1. Hao ndio Mwenyezi Mungu amewapiga muhuri wa mghafala katika nyoyo zao, hata zikawa haziikubali Haki, na katika masikio yao wakawa hawasikii kwa sikio la fahamu na mazingatio wakawa kama viziwi, na katika macho yao hata wakawa hawaoni ishara na dalili zilio mbele yao. Hao ndio walio zama katika kughafilika na Haki. Hao hawana kheri mpaka uondoke mghafala katika akili zao.