Skip to content
النَّحل /

Aya 109

16 : 109
النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 109

لَا جَرَمَ أَنَّهُمۡ فِي ٱلۡأٓخِرَةِ هُمُ ٱلۡخَٰسِرُونَ

Hapana shaka ya kwamba hao ndio wenye kukhasiri Akhera.

Explanation & meanings · 1
  1. Hao hapana shaka yoyote ndio peke yao watakao khasiri kila kheri katika Akhera!