15 : 94
فَٱصۡدَعۡ بِمَا تُؤۡمَرُ وَأَعۡرِضۡ عَنِ ٱلۡمُشۡرِكِينَ
Basi wewe yatangaze uliyo amrishwa, na jitenge na washirikina.
Explanation & meanings · 1
- Basi wewe tangaza wito wa Haki, wala usishughulike na wayatendao washirikina na maneno yao.