12 : 27
وَإِن كَانَ قَمِيصُهُۥ قُدَّ مِن دُبُرٖ فَكَذَبَتۡ وَهُوَ مِنَ ٱلصَّٰدِقِينَ
Na ikiwa kanzu yake imechanwa nyuma, basi mwanamke amesema uwongo, naye Yusuf ni katika wakweli.
Explanation & meanings · 1
- Na ikiwa kanzu yake imechanwa nyuma, basi huyu mwanamke kasema uwongo, na kijana ni mkweli kwa aliyo yasema.