Skip to content
يُوسُف /

Aya 103

12 : 103

Aya 103 of يُوسُف (12 : 103). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

يُوسُف Aya 111
Sura · يُوسُف
Kiswahili · Barawani
12 : 103

وَمَآ أَكۡثَرُ ٱلنَّاسِ وَلَوۡ حَرَصۡتَ بِمُؤۡمِنِينَ

Na wengi wa watu si wenye kuamini hata ukijitahidi.

Explanation & meanings · 1
  1. Na wapo wengi ambao tabia zao zina maradhi zinazo wazuia wasisadiki haya unayo funuliwa, hata moyo wako ukiwa una shauku namna gani waamini, au nafsi yako ikafanya juhudi gani waongoke.