Skip to content
هُود /

Aya 99

11 : 99

Aya 99 of هُود (11 : 99). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

هُود Aya 123
Sura · هُود
Kiswahili · Barawani
11 : 99

وَأُتۡبِعُواْ فِي هَٰذِهِۦ لَعۡنَةٗ وَيَوۡمَ ٱلۡقِيَٰمَةِۚ بِئۡسَ ٱلرِّفۡدُ ٱلۡمَرۡفُودُ

Nao wamefuatishiwa laana hapa duniani na Siku ya Kiyama. Ni mabaya yalioje watakayo pewa!

Explanation & meanings · 1
  1. Na wao katika dunia hii iliwafuata laana ya Mwenyezi Mungu, na ya Malaika, na ya watu. Na Siku ya Kiyama kadhaalika itawafuata laana hiyo vile vile, kwani hiyo ndiyo zawadi yao. Zawadi hiyo ni ovu ya kuonyesha dhambi. Itasemwa : Ovu mno zawadi hii wapewao watu hawa!