Skip to content
هُود /

Aya 98

11 : 98

Aya 98 of هُود (11 : 98). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

هُود Aya 123
Sura · هُود
Kiswahili · Barawani
11 : 98

يَقۡدُمُ قَوۡمَهُۥ يَوۡمَ ٱلۡقِيَٰمَةِ فَأَوۡرَدَهُمُ ٱلنَّارَۖ وَبِئۡسَ ٱلۡوِرۡدُ ٱلۡمَوۡرُودُ

Siku ya Kiyama atawatangulia watu wake na atawaingiza Motoni. Na muingio muovu ulioje huo!

Explanation & meanings · 1
  1. Siku ya Kiyama Firauni atawatangulia kaumu yake kama alivyo watangulia hapa duniani, na atawaingiza Motoni wakipenda wasipende, wataingia humo wakizigugumia adhabu zake! Na uovu ulioje wa maji yanayo tokota watayo kunywa humo kutafuta kuondoa kiu; maji hayo yatakatakata matumbo yao!