Skip to content

Utakapo ulizwa: unasema nini unapo fika katika sehemu yeyote?

السؤال

Swali/ Utakapo ulizwa: unasema nini unapo fika katika sehemu yeyote?

الجواب

Jawabu/ Sema: Ninasema yale aliyo niongoza Mtume wa Allah rehma na amani za Allah ziwe juu yake, alisema: (Mwenye kufika katika nyumba yeyote akasema: Ninajikinga kwa maneno ya Mwenyezi Mungu yalio timia kutokana na shari alizo ziumba, hakuna kitakacho mdhuru mpaka atakapo toka katika nyumba hiyo) Imepokelewa na Muslim