Utakapo ulizwa: Je, walio kufa wanasikia au kujibu kwa mwenye kuwaomba?
السؤال
Swali/ Utakapo ulizwa: Je, walio kufa wanasikia au kujibu kwa mwenye kuwaomba?
الجواب
Jawabu/ Sema: Walio kufa hawasikii kwa kauli ya Mwenyezi Mungu: {Hukuwa wewe nimwenye kuwafanya wasikie walioko makaburini} (Faatwir 22) na amesema Mwenyezi Mungi mtukifu: {Kwa hakika wewe huwezi kuwafanya maiti wasikie}. (Namli 80) na maiti hawawezi kumjibu kwa mwenye kuwaomba, Amesema Mwenyezi Mungu: { Na hao mnao waomba badala yake hawamiliki hata ugozi wa kokwa ya tende (13) Mkiwaomba hawasikii maombi yenu; na hata wakisikia hawakujibuni. Na siku ya kiyama watakataa ushirikina wenu. Na hapana atakaye kupa habari vilivyo kama Yeye Mwenye habari} ( Fatwir 13-14) na kauli ya Mwenyezi Mungu: {Na nani mpotofu mkubwa kuliko hao wanao waomba, badala ya Mwenyezi Mungu, ambao hawatawaitikia mpaka Siku ya Kiyama na wala hawatambui maombi yao} (Ahkaf 5).