Skip to content

Utakapo ulizwa: Nani anae pangilia mambo ya Mbinguni na Ardhini na vilivyomo baina yake?

السؤال

Swali/ Utakapo ulizwa: Nani anae pangilia mambo ya Mbinguni na Ardhini na vilivyomo baina yake?

الجواب

Jawabu/ Sema: Anaepangilia mambo ya mbinguni na ardhini na vilivyomo baina yake ni Mwenyezi Mungu peke yake hana mshirika hakuna mfalme asiekuwa Yeye wala hana mshirika wala msaidizi wala anae fanana nae utakasifu ni wake na ametukuka, amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: {Na yeye hakuwa na mamlaka yeyote juu yao, ila kwa sababu ya kuwajaribu tujue nani mwenye kuamini akhera na nani anaye tilia shaka. Na Mola wako Mlezi ni mwenye kuhifadhi kila kitu}. (Sabaa 22)